Breaking News:TANZIA: Rais mstaafu wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia
Taarifa ambazo mtandao huu umezipata ni kuwa Rais Mstaafu wa zanzibar wa awamu ya pili Mzee ABOUD JUMBE MWINYI amefariki dunia mchana huu nyumbani kwake Kigamboni.Taarifa zaidi za msiba huo zitakujia Hivi Punde.
Unaweza kutizama historia yake kidogo
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa rais wa pili wa Zanzibar toka mwaka 1972 hadi 1984 alipojiuzulu.
Aboud Jumbe alizaliwa mwaka 1920 huko kisiwani Zanzibar ( Tanzania ).
Unaweza kutizama historia yake kidogo
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa rais wa pili wa Zanzibar toka mwaka 1972 hadi 1984 alipojiuzulu.
Aboud Jumbe alizaliwa mwaka 1920 huko kisiwani Zanzibar ( Tanzania ).
No comments: